TAWHIYD
    Tawhiyd

Qur'aan

Sunnah

Fiqhi

Makala

Nasiha Ya Ijumaa

Dua na Adhkaar

'Aqiyda-Tawhiyd

Vitabu

Darsa za Wanawake

    Sikiliza

Qur'aan

Mawaidha

Dua

Nashiyd

    Tizama

Video 

    Tafuta

Advanced Search

 

Wudhuu

Mafunzo ya Kuweka Wudhuu

» KARIBU

   
 

Tawhiyd.co.uk

RAMADHAAN KARIYM

Articles
Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,

Ndugu wapenzi,

Tumejiandaa vipi na mwezi huu mtukufu wa Ramadhaan.

Mwezi huu mtukufu umejaa fursa ya kujichumia mengi ya kheri ambayo thawabu zake huanzia tokea kumi hadi zaidi ya mia saba pamoja na malipo maalum yatokayo kwa Allaah kwa Mfungaji, kama alivyosema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم

 قال صلى الله عليه وسلم : ((كل عمل ابن آدم له الحسنة بعشر أمثالها إلى سبعمائة ضعف . يقول الله عز وجل : إلا الصيام فإنه لي وأنا أجزي به ، ترك شهوته وطعامه وشرابه من أجلي،  للصائم فرحتان ؛ فرحة عند فطره ، وفرحة عند لقاء ربه، و لخلوف فم الصائم أطيب عند الله من ريح المسك))    أخرجه البخاري ومسلم

Amesema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم,: ((Kila amali njema ya mwanaadamu inalipwa mara kumi na inaongezewa thawabu kutoka kumi hadi mia saba, na Allaah سبحانه وتعالى Anasema isipokuwa Swawm, kwani hiyo ni kwa ajili  Yangu na Mimi Ndiye Nitakayemlipa.  Ameacha matamanio yake na chakula chake na maji yake kwa ajili Yangu.  Kwa aliyefunga atapata furaha mbili; furaha anapofuturu na furaha atakapoonana na Mola wake, harufu inayotoka kinywani mwa aliyefunga ni nzuri mbele ya Allaah سبحانه وتعالى kuliko harufu ya misk)) [Al-Bukhaariy na Muslim]

 1    Njia 10 Za Kuukaribisha Vizuri Mwezi Wa Ramadhaan
 2    Adabu Za Kufunga
 3    Familia Katika Mwezi Wa Ramadhani
 4    Ingia Katika Milango Mingi Ya Kheri Ya Ramadhaan
 5    Fadhila Za Qiyaamul-Layl - 1 (Kusimama Kuswali Usiku)
 6    Fadhila za Qiyaamul-Layl (2)
 7    Qur'aan Maana Yake, Majina Yake, Na Vipi Imeteremshwa
 8    Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur'aan
 9    Mambo Muhimu Kuhusu Swawm
 10     Mjadala Wa Mwaandamano Wa Mwezi
 11    Funga Ya Ramadhaan, Hukmu, Fadhila na Adabu Zake
 12    Fadhila Za Swawm
 13    Fadhila Za Mwezi Wa Ramadhaan
 14    Siku Kumi Za Mwisho Za Ramadhaan
 15    BAADA YA RAMADHAAN - Swawm Za Sunnah Na Umuhimu Wake
 16    Nini Baada Ya Ramadhaan?
 17    'Iyd- Taratibu Na Sheria Zake
 18    Yaliyokuwa Sunnah Na Bid'ah Katika Sherehe Za 'Iyd
 19    Ramadhaan Humalizikia/Huishia na 'Iyd?
 20    Maana Ya Swawm
 21    Vunja Jungu
 22    Swawm Baada ya Ramadhaan
 23    Salamu za ‘Iydil-Fittri
 24    Kufunga sita Shawwaal
 25    Atakayefunga Ramadhaan kisha akafuatiliza na siku sita za mwezi wa Shawwaal
 
Articles
 
Suala la malezi ni suala muhimu. Ni suala ambalo kila mmoja wetu amekutana nalo na bado yupo katika kuendelea nalo.Kwa  atakaefanikiwa  ni yule atakaelea watoto wake malezi sahihi ya kiislamu INSHAALLAH.
Online Counselling

Mtume Muhammad
 (Sallallahu 'alyhi wasallam) alimwambia Mu'aadh bin Jabal alipokuwa katika safari ya kuelekea Yemen:

fatwa Online

Kuna maafikiano makubwa baina ya Ahlus-Sunnah wal-Jamaa'ah kuwa ni wajibu wetu kushikamana na Jamaa'ah na kuwa imekatazwa kujitenga nayo; Kushikamana na Jamaa'ah ni jambo jema na kujiepusha na kujitenga nayo ni ufisadi.
Current Affairs

Mwanachuoni mkubwa wa hadhith wa karne hii (ya ishirini)


Articles
 
Mwenyezi Mungu amemleta Mtume wake Muhammad (SAW) akiwa kama ni mletaji habari njema na muonyaji ambaye hakuacha jambo lolote la kheri isipokuwa ametujulisha nalo na kutuhimiza kulikimbilia, na hakuacha jambo lolote la shari isipokuwa ametutahadharisha nalo.
Online Counselling
» Adhabu ya Kaburi

Anasema Sheikh Ibn Uthaymiyn (Mwenyezi Mungu amrehemu):

Zipo dalili nyingi sahihi zinazoelezea juu ya Adhabu ya kaburini.

fatwa Online

» Faida za Sala ya Alfajiri

Mwenyezi Mungu anasema;

“Na anayemtii Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, bila shaka amefanikiwa mafanikio makubwa.”

Al Ahzab – 71

Current Affairs
Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyotoa mashuke saba, ikiwa katika shuke pana punje mia. Na Mwenyezi Mungu huzidisha amtakaye, (zaidi kuliko hivi) na Mwenyezi Mungu ni mwenye wasaa mkubwa na mwenye kujua.
Nataka Kutubia...lakini! Mahitajio Ya Nafsi
Maana ya Tawbah (Toba)
Wakati Bora Wa Kuomba Tawbah
Vipi Kuomba Maghfira Na Tawbah?
Hatari Ya Kuchelewa Kuomba Maghfira Na Tawbah
fatwa Online
Alivyosimamia Ujumbe na Kuufikisha kwa Watu.
 

    Mtume (SAW) ameifanya kazi yake kwa ukamilifu

na ameufikisha ujumbe kwa watu  kama alivyotakiwa.

Wakati mwingine alikuwa akiwaendea watu maalum au huwaalika watu chakula, na mara nyengine hujitolea kuyaendea makabila mbali mbali huku akiwa na subira juu ya yale yanayomkuta, na kabila moja baada ya moja humkatalia.

Wake Zake Mtume (SAW)
Watoto Wake
Makhalifa Wake
fatwa Online
Download
       

Windows Media Player 11   

   Ingia / Jisajili
Username:

Password:

 Remember me



I forgot my password

Don't have an account yet?
You can register for FREE

NATWEST
Tawhiyd.co.uk
A/C. NO :73087297
S/Code: 60-15-55

Make Home Page

 Add to Favorites

Mjulishe Ndugu Yako Website Hii

Viungo muhimu kwa waisilamu (website)

Mwanachuoni, Mshairi, na Mwana historia maarufu kutoka Zanzibar

 

     All rights reserved to Tawhiyd ©. 2005-2006