|
Tovuti hii ya TAWHIYD imeanzishwa kutoa
mafunzo ya Kiislam yaliyo Sahihi kwa
kufuata Kitabu cha Mwenyeezi Mungu na
Sunnah Sahihi za Mtume Muhammad
صلي
الله
عليه
وآله
و
سلم
bila kujiegemeza katika dhehebu au kundi
lolote lile.
Vilevile, TAWHIYD itakuwa inasimama kwa
mwendo waliokwenda nao watangu wema
waliotangulia (Salafi Swaalih).
TAWHIYD itakuwa inakusanya baadhi ya
page zilizomo kwenye website nyenginezo, ili
ziweze kuhifadhika.
Tovuti hii imeanzishwa
na ndugu mwenye nia ya kuisimamisha dini
ya M/Mungu kwa waislam wote
ulimwenguni.
LENGO NI KUENDELEZA
UISILAMU KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
TULIYONAYO.
Mnakaribishwa katika TAWHIYD
|